whatsAPP

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,750
10,593
Wakuu eeh,mi nina shida moja kubwa,whatsapp yng kila baada ya mwezi mmoja inaexpire,so inanibidi niidownload upya,kitendo hki huwa kinanikera sana wakuu,naombeni msaada kama kuna uwezekano nidownload whatsapp ambayo haitahitaji update za mara kwa mara
 
Unatumia simu gani??

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Wakuu eeh,mi nina shida moja kubwa,whatsapp yng kila baada ya mwezi mmoja inaexpire,so inanibidi niidownload upya,kitendo hki huwa kinanikera sana wakuu,naombeni msaada kama kuna uwezekano nidownload whatsapp ambayo haitahitaji update za mara kwa mara

Ninaamini watakusaidia.

Mimi napata shida kudownload whatsap for PC, mwenye msaada tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom