Whatsapp yangu ina shida gani?

Ni namba gani unayotumiaga?
 
Ukiona hivyo ujue mvua zitaendelea kunyesha mfululizo dar kwahiyo kutakua nahali ya ubaridi sana chukua tahadhari[emoji16]
 
Mkuu mshana jr tatzo la hiyo WhatsApp yako ni kwamba inatakiwa uiweke kwenye Nokia kitochi, je,utaweza kuiweka? Kama huwezi nitafute haraka ukiambatana na physical image/objects ya hizo picha
 
wapare huwa wanaanzia kwenye matumbo ya baba zao oooh sorry mama zao .............
na baridi hili lazima ukuni umesimama kuliko ubao
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…