Wakati wote wa kuomboleza msiba wa Mandela kule SA, camera za TVs zilionyesha maelfu ya raia wakiwa bwaaax, wakiimba, wakicheza, wakinywa kwa furaha! Tafsiri ilikuwa ni sawa na kusema "AHSANTE MUNGU KWA KUTUPA MTU HUYU"
kwa huyu uliemueka hapa mshana jr, na kama tutafanya km SA, bs tutakuwa na tafsiri yetu tofauti!