WhatsApp Status yangu

Sio hata mbali wengine tulikuwa chuo kabisa unajipost uko club na kipensi kakangu alikua ananichamba🤣
Umenikumbusha mbali. Ilikuwa around 2013 hivi nilienda Mtwara sasa night moja tukaenda club ilikuwa wamejaa watoto wa chuo kila demu wa chuo kavaa kipensi
 
Umenikumbusha mbali. Ilikuwa around 2013 hivi nilienda Mtwara sasa night moja tukaenda club ilikuwa wamejaa watoto wa chuo kila demu wa chuo kavaa kipensi
Umri ulikuwa unaruhusu😁😁 kakaangu alikuwa ananiambia since you were born I’ve never seen ur thighs now u are posting them on ur status, nilimblock😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…