WhatsApp status ndio chanzo cha kutambiana siku hizi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.

Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.

Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.

Maisha haya
 
Sidhani ni wewe unavyoona hivo labda kutokana na roho yako mtu akipost pilau kuku mm sina habari nipo zangu na ugali wangu na chumvi pembeni maji sadolini wala hamna tatzo tusiwe na vijicho!
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu
 
Kwani ni lazima uangalie? Kiherehere chako ndo kinakuponza..
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu
Una gubu inaonekana yaani unakera kama Fiston Mayele
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu

Hivi haya mambo mbona mimi siyawezi jamani!! Napenda tu kupost vichekesho na picha mara mojamoja.
 
Back
Top Bottom