WhatsApp Plus v4.95

WhatsApp Plus v4.95

just seed uki stop torrent halafu ukishare link inaendelea kuchukua ?? au umeiremove?
si ungei upload hapa hapa jf au ?

Nimeiremove mkuu maana naona itamaliza data zangu na hiyo kitu ya kustop nilikuwa sijaifikilia mkuu kama inaepusha hizi shari...
Ku upload jf ndo best idea lkn naona kuna link mbili tayari ya Dropbox na Mediafire hope zitafaa pia
 
Sie wa Blackberry tutapataje hayo makitu au niuze Curve 9320 nichukue Tecno P3?

Hiyo simu ni majanga wala Tech boy kama wewe sikushauri kabisa
Tafuta walau hizi L3 na P5 memory iko sufficient kidogo na bei zake ni sawa na p3
 
wakuu naona hii update mpya iliyotoka V5.0 wameniongezea feature ninayoipenda: emoticons za kutosha
 
wakuu naona hii update mpya iliyotoka V5.0 wameniongezea feature ninayoipenda: emoticons za kutosha

Usha-update??
Donation thing tatzo,mi hapa ngoja nitulie na hii v4.95 kwanza!
 
Ila hzo emoticons nyingine si kwa wale wenye watsap+ nao
 
Mbona mie nikitaka ku update naambiwa failed pursing the package. Hapo inakuwaje?
 
Mbona mie nikitaka ku update naambiwa failed pursing the package. Hapo inakuwaje?

Idownload bonyeza Download in Background, itadownload kwa kutumia ur default browser(mfano Opera mini) ikimaliza.Nenda Settings>manage Apps>uninstall hiyo WhatsApp .
Sasa rudi kwenye ile WhatsApp uliodownload,install kama kama kawaida.
Kumbuka kuruhusu Installation from Unknown sources.
 
Usha-update??
Donation thing tatzo,mi hapa ngoja nitulie na hii v4.95 kwanza!

nimeshaupdate kaka, iliniletea notification ya kwamba kuna new update nikaipiga fasta, no donation stuffs inapiga mzigo
 
haya ishatoka version 5 sasa. wapendao update waitafute
 
Nimeiremove mkuu maana naona itamaliza data zangu na hiyo kitu ya kustop nilikuwa sijaifikilia mkuu kama inaepusha hizi shari...
Ku upload jf ndo best idea lkn naona kuna link mbili tayari ya Dropbox na Mediafire hope zitafaa pia
na pia ishatoka version ya juu yake. haina tena ishu ile. leo nimetest kwa file la 600mb la acrobat. ukistop data zako haziendi mkuu . nimeliupload hadi 100% nikastop. kisha nikacreate direct http link. nikalidownload file lote. data haiendi. jaribu uone
 
sasa older au new yote mawasiliano tuu, tsup kama kawa hata kama older version!
 
na pia ishatoka version ya juu yake. haina tena ishu ile. leo nimetest kwa file la 600mb la acrobat. ukistop data zako haziendi mkuu . nimeliupload hadi 100% nikastop. kisha nikacreate direct http link. nikalidownload file lote. data haiendi. jaribu uone

Yaah naona hii inasaidia

sasa ambacho silewi hawa jamaa wanakata DATA zipi Uploaded au Downloaded?
 
Yaah naona hii inasaidia

sasa ambacho silewi hawa jamaa wanakata DATA zipi Uploaded au Downloaded?
ki mkataba na makubaliano. wakate zote downloaded na uploaded. whichever comes first. ila kwa sasa kama wana error fulani tu. i hope watakuja kuifix hiyo loophole siku za mbele au siku zijazo , the coming days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom