WhatsApp Plus v4.95

WhatsApp Plus v4.95

Unaweza kuizuia nenda Whatsapp+ setting >> Updates. >> Disable auto updates.

Hyo ni sawa,ila the issue was How to use upgrade to the latest version and access premium features without paying.
Limesolviwa hilo tayar!
 
Ile link ya kupata WhatsApp Plus v4.95 ambayo tayari ni cracked bonyeza HAPA
 
Whatsapp+ v4.95 Cracked [=Rahil=]

Samahani JF kwangu inazingua nikibofya reply sioni sehemu ya kutype imenibidi ni install app ya mediafire ktk simu ni upload huko afu ndo ni share na nyie

Samahani kwa kuwacheleweshea utamu

link ya mediafire itafutwa na uongozi wa mediafire siku si nyingi maana ni copyright infringement. ungeandika kwa kifupi au ungeandika jina la file ambalo wao hawatalielewa... eg xDHkj6sf_v4.95d.apk
 
Vp wadau kwa IOS nako ni hivo??? maana the latest ipo V2.11.7..... so nako watakuja bhana kihivo??
 
link ya mediafire itafutwa na uongozi wa mediafire siku si nyingi maana ni copyright infringement. ungeandika kwa kifupi au ungeandika jina la file ambalo wao hawatalielewa... eg xDHkj6sf_v4.95d.apk

Sometimes hata ukiliname wanakuwekea alama ya copyright
Ila naona Old Skuli kaliweka kwenye dropbox tayari
 
Last edited by a moderator:
Ile link nairestisha sasa maana inanifyonza data nilizolipia kwenye justseed.it waweza attach pia kwa manufaa ya wengine

just seed uki stop torrent halafu ukishare link inaendelea kuchukua ?? au umeiremove?
si ungei upload hapa hapa jf au ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom