WhatsApp Plus v4.95

WhatsApp Plus v4.95

Hao jamaa wa WhatsApp wamenipa somo kubwa sana la kibiashara. Walianza bure, kidogo kdogo wamekusanya watu, sasa hivi wameshaona hatoki mtu wameanza kuvuna mpunga kwa raha zao.
 
hyo ni v4.95 na bdo una-access TAB ya online status bure??
how??Coz hapo mpk ufanye donation kwa jamaa!

Ndio mkuu
1391539194982.jpg
 
Mkuu hii ni tofauti na hzo nyingne znazotaka PAYMENTS to access HIDE LAST SEEN feature??

Ushawekewa link unaanza kuhoji hiyo ina expire usiku wa leo ni ya justeed.it kama unawajua

Torrent means cracking kaka au haukuelewa nilichomaanisha katika comment yangu

Pakua endelea kuficha "mas*buri"
 
Ngoja niipakua,Nitakuja na feedback...
 
Hakuna pop-ups za kukutaka upgrade to the latest version?
hakuna pop up wala donation app yoyote niliyoweka nimeinstall app ya whatsapp plus peke yake, na inapeta mpeto wa kutakata,

1891039_494166314038243_1099077436_n.jpg

1798654_494167960704745_1499245871_n.jpg
 
Nafikiri itakuwa imekuwa cracked kama hii aliyonipa njunwa wamavoko.

The world of smart minds...
 
Last edited by a moderator:
The best im app is no longer whats app, now it is telegram, an app called telegram, can send files upto 100mb, unlimited photos also it can send pdf, ppt, doc and any other formart fast than ever!
 
The best im app is no longer whats app, now it is telegram, an app called telegram, can send files upto 100mb, unlimited photos also it can send pdf, ppt, doc and any other formart fast than ever!

Whose saying this?Thats u..And thats wat u think!
We dont deal with copied ideas...we need to see true developers who generate their raw ideas from the scratch.
Telegram tunaitumia kutuma docs tu,ila mambo mengine WhatsApp still rocks!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom