Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
wana akili sana hawa jamaaaaa. Wasinunuliwe wakae hv hv
sijui kwann google wanataka kuinunua, wakinunua hatujui future yake itakuwa vipi
wana akili sana hawa jamaaaaa. Wasinunuliwe wakae hv hv
Jamaa wakisoma title ya thread wakaunganisha na hizo red, lazima watatafuta mkalimaniombi tu mtu asije akaitafsiri kingereza hii thread maana itasababisha hii trick kua blocked
Jamaa wakisoma title ya thread wakaunganisha na hizo red, lazima watatafuta mkalimani