Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
- Thread starter
- #61
Hongeranmetengeneza namba ya UsA iko fasta[emoji23]!!
Marekani tusifike
hata namba tusifoji
[emoji41]watupishe
Hongeranmetengeneza namba ya UsA iko fasta[emoji23]!!
Marekani tusifike
hata namba tusifoji
[emoji41]watupishe
Kwamba unaweza kuwa online kwa account zote mbili wakati mmoja?Huwawei mate 9 inayo hiyo option as standard inaitwa app twins
![]()
asante[emoji23]Hongera
Yes you canKwamba unaweza kuwa online kwa account zote mbili wakati mmoja?
Ni kwel n nzur sema m inaniudh kila baada ya wik na inataka uiupdate...GB whatsapp ina features tofauti na whatsapp hii ya kawaida
Kwanza ni nzuri na imeboreshwa vizuri ina mambo mwengi sana.
Unaweza ukaweka hizo hata 3 na ile ya kawaida ikawa ya nne
Lakin sio lazma uiupdate mkuuNi kwel n nzur sema m inaniudh kila baada ya wik na inataka uiupdate...
Naomba kuifahamu iyk jmods whatsappMi natumia NNE
Whatsapp plus
Jmods WhatsApp
GB whatsapp
Na WhatsApp ya kawaida
Jaribu kwenda setting then unknown souces weka tiki pale kisha itaanza kuistall yenyewe ila hakikisha whatsapp yazamani umeifuta mkuu![]()
Nimejaribu kuinstall whatsapp plus imegoma inafikia hapo. Ntafanyaje hapo. Msaada kwenye tuta
Hapana izo simu hazina uwezo uoVp kwa window phone mbona mnatutupa
Hii simu nipe sifa na bei zake bila kusahau maoni yako, natumia mate 7 nataka nihamie hukoHuwawei mate 9 inayo hiyo option as standard inaitwa app twins
![]()
Hii simu nipe sifa na bei zake bila kusahau maoni yako, natumia mate 7 nataka nihamie huko
Hii simu nipe sifa na bei zake bila kusahau maoni yako, natumia mate 7 nataka nihamie huko
Hii ndo unajisajili no ya marekani au cjaelewa unielewesheN
1: Nenda playstore download PRIMO app
2: Baada ya ku install jisajiri kisha verify na number yako halisi.
View attachment 467926
3: Baada ya kufunguka click left top corner itafunguka menu chini kabisa ya menu utaona number ya Us +1 iandike pembeni
View attachment 467927 .
4: Baada ya ku note fungua whatsapp weka number ya Us
View attachment 467928
5: Kwenye ku verify via sms acha then itapiga simu kwenye primo kukupatia verification code
Imefanya kaz vizurnmetengeneza namba ya UsA iko fasta[emoji23]!!
Marekani tusifike
hata namba tusifoji
[emoji41]watupishe