Whatsapp mbili simu moja na namba mbili za whatsapp

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Jul 17, 2016
4,925
14,285
Habar wana jf

Tufunzane kidogo kuhusu hili hiv ulishawahi kujiuliza whatsapp zinaweza kaa mbili kwenye simu moja na namba inakuwa moja au vip bac najua wajua namimi nakujuza
Inawezekana kabisa whatsapp zikawambili lakini lazma namba ziwe tofati chakufanya ni hiki nenda Google kisha search whatsapp + ( whatsapp plus) kisha download kabla ya kuistal kwenye simu yako hakikisha unaifuta whatsapp ya zamani (old version ) usipo ifuta whatsapp plus haitoingia N.B hii ni kwa wenye simu za android tu
Ukisha install kwenye simu yako nenda Google search whatsapp GB kisha istall kwenye simu yako
Hapo utafurahia sana kwanza unaweza muonekano wa whatsapp zote mbili ( themes)
N.b tumia namba tofauti ukitumia namba moja unaweza fungiwa account yako ya whatsapp

Asanteni wakuu
e3eb05247f712bb66ec085a1992b92a4.jpg
 
Mimi ninazo tano 5 kwenye simu moja na zote zinafanya kazi
Screenshot_2017-02-06-21-29-03.png
Screenshot_2017-02-06-21-29-03.png

Hiyo Disa app ina whatsapp pia kwa hiyo unaweza ongezea ukawa nazo tatu kwa case yako
 
Kuna app inaitwa parallel space nayo ni nzuri. Huhitaji ku-uninstall WhatsApp yako ya awali. Kama unatumia simu ya line mbili waweza fanya hivyo. Ukiwa na bando upande wa line mojawapo unaweza litumia kwa WhatsApp zote!
Iyo parallel space inakurusu tu kutumia whatsapp ya kawaida as longers zinakuwa mbili izo gb na plus ni nzur coz zina features kama kubadili themes na kazalika
 
GB whatsapp ina features tofauti na whatsapp hii ya kawaida
Kwanza ni nzuri na imeboreshwa vizuri ina mambo mwengi sana.
Unaweza ukaweka hizo hata 3 na ile ya kawaida ikawa ya nne
 
Habar wana jf

Tufunzane kidogo kuhusu hili hiv ulishawahi kujiuliza whatsapp zinaweza kaa mbili kwenye simu moja na namba inakuwa moja au vip bac najua wajua namimi nakujuza
Inawezekana kabisa whatsapp zikawambili lakini lazma namba ziwe tofati chakufanya ni hiki nenda Google kisha search whatsapp + ( whatsapp plus) kisha download kabla ya kuistal kwenye simu yako hakikisha unaifuta whatsapp ya zamani (old version ) usipo ifuta whatsapp plus haitoingia N.B hii ni kwa wenye simu za android tu
Ukisha install kwenye simu yako nenda Google search whatsapp GB kisha istall kwenye simu yako
Hapo utafurahia sana kwanza unaweza muonekano wa whatsapp zote mbili ( themes)
N.b tumia namba tofauti ukitumia namba moja unaweza fungiwa account yako ya whatsapp

Asanteni wakuu
e3eb05247f712bb66ec085a1992b92a4.jpg
Tuwekee na hizo link zake tupakue kirahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom