Whatsapp mbili simu moja na namba mbili za whatsapp

Whatsapp mbili simu moja na namba mbili za whatsapp

N
Poa nipe somo mkuu
1: Nenda playstore download PRIMO app
2: Baada ya ku install jisajiri kisha verify na number yako halisi.
Screenshot_2017-02-06-23-11-05.png

3: Baada ya kufunguka click left top corner itafunguka menu chini kabisa ya menu utaona number ya Us +1 iandike pembeni
Screenshot_2017-02-06-23-11-27.png
.
4: Baada ya ku note fungua whatsapp weka number ya Us
Screenshot_2017-02-06-23-11-50.png

5: Kwenye ku verify via sms acha then itapiga simu kwenye primo kukupatia verification code
 
Poa nipe somo mkuu
1: Nenda playstore download & install PRIMO app
2: Jisajili na verify kwa number yako unayo tumia +255
Screenshot_2017-02-06-23-11-05.png
3: Baada ya kufunguka fungua menu kwenye kona juu kushoto chini kabisa utaona number ya US +1 inakili
Screenshot_2017-02-06-23-11-27.png

4: Itie kwenye whatsapp kwenye vetification code acha sms
Screenshot_2017-02-06-23-11-50.png

5: Itakuja Call me option simu itaingia kupitia PRIMO kukupatia Verification code tia kwenye whatsapp endelea
Poa nipe somo mkuu
 
8f0c26042efe89c036409ef97942873a.jpg

Nmepakua Hiyo plus, nikafanya backup ya ile WhatsApp ya kawaida, napakia hii plus na inaleta maluweluwe hayo. Nifanyaje?
 
N

1: Nenda playstore download PRIMO app
2: Baada ya ku install jisajiri kisha verify na number yako halisi.
View attachment 467926
3: Baada ya kufunguka click left top corner itafunguka menu chini kabisa ya menu utaona number ya Us +1 iandike pembeni
View attachment 467927 .
4: Baada ya ku note fungua whatsapp weka number ya Us
View attachment 467928
5: Kwenye ku verify via sms acha then itapiga simu kwenye primo kukupatia verification code
 
unaweza weka mpaka 4 kwa simu 1 na namba tofauti sio tu 2 tu
 
Habar wana jf

Tufunzane kidogo kuhusu hili hiv ulishawahi kujiuliza whatsapp zinaweza kaa mbili kwenye simu moja na namba inakuwa moja au vip bac najua wajua namimi nakujuza
Inawezekana kabisa whatsapp zikawambili lakini lazma namba ziwe tofati chakufanya ni hiki nenda Google kisha search whatsapp + ( whatsapp plus) kisha download kabla ya kuistal kwenye simu yako hakikisha unaifuta whatsapp ya zamani (old version ) usipo ifuta whatsapp plus haitoingia N.B hii ni kwa wenye simu za android tu
Ukisha install kwenye simu yako nenda Google search whatsapp GB kisha istall kwenye simu yako
Hapo utafurahia sana kwanza unaweza muonekano wa whatsapp zote mbili ( themes)
N.b tumia namba tofauti ukitumia namba moja unaweza fungiwa account yako ya whatsapp

Asanteni wakuu
e3eb05247f712bb66ec085a1992b92a4.jpg
Mkuu mbona hiyo whatsapp plus siipati msaada jinsi ya kuipata
 
Mkuu mbona hiyo whatsapp plus siipati msaada jinsi ya kuipata
Ukiingia Google au kwakutumia browser kama opera ama chrome tafuta whatsapp plus link ya kudowloadia ipo chini kabisa sio juu ukisha ipakuwa furahia ulimwengu mwingine wa whatsapp
 
Ukiingia Google au kwakutumia browser kama opera ama chrome tafuta whatsapp plus link ya kudowloadia ipo chini kabisa sio juu ukisha ipakuwa furahia ulimwengu mwingine wa whatsapp
Mkuu nimedownload hiyo nimefuta whatsapp ya zamani lakin nikiinstal inaniambia app not installed kwanini msaada
 
Mkuu nimedownload hiyo nimefuta whatsapp ya zamani lakin nikiinstal inaniambia app not installed kwanini msaada
Mkuu apo jaribu tena kwa mala nyingine inawezekana kunakitu kimecorrupt au angalia storage yako mkuu
 
Mkuu apo jaribu tena kwa mala nyingine inawezekana kunakitu kimecorrupt au angalia storage yako mkuu
Storage yangu ipo vizurii au kuna kitu nimekosea mkuu msaada pls mkuu nahitaji sana kutumia hii whatsapp pluss
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom