Nunua tu haizidi 2000 tena ya kulipia itakuwa nzuri kuliko za bure
ukishindwa kununua kilichobaki ni kuJailbreak iPhone yako alafu instal whatsapp manually..ingia google tafuta namna ya kuJailbreak na kuInstal cracked applications kwenye ios..Natumia iPhone 4s na ipo na latest version of its OS ver 6.1 lkn whatsapp nashindwa kuinstall, inataka $0.99.
Is there any means of getting it free?
ukishindwa kununua kilichobaki ni kuJailbreak iPhone yako alafu instal whatsapp manually..ingia google tafuta namna ya kuJailbreak na kuInstal cracked applications kwenye ios..
Uko pande za wapi ili nikusaidie kununua hiyo kitu kwa kutumia account yangu ambayo natumia credit card kununua hizo applications,wala asikudanganye mtu kujailbreak hiyo simu maana itakusumbua sana itakapofika wakati wa kuupdate ios,nakwambia hivyo kwa sababu natumia hiyo simu na hicho kitu nimeshawahijaribu,jailbreaking ni kwa simu za 3G ndio huwa hazisumbui sana.Natumia iPhone 4s na ipo na latest version of its OS ver 6.1 lkn whatsapp nashindwa kuinstall, inataka $0.99.
Is there any means of getting it free?
naona imekuwa free toka tarehe 20 december mwaka uliopita, kabla ya hapo ilikuwa $0.99,,Hivi whatsApp kuna baadhi ya nchi inauzwa? Hapa Japan ni bureee!
Jaribu kwa iCloud