Whatsapp haifanyi kazi mda huu

Whatsapp haifanyi kazi mda huu

Kuna taarifa kwamba Whatsapp imezingua kote ulimwenguni na kuna taharuki kubwa sana kwa watumiaji hasa wale wenye utegemezi wa kuitumia kwa shughuli maalum,
Hii imekaaje waungwana

IMG_3742.jpg
 
Ripoti zinasema tatizo hilo limeanzia nchini Uingereza kisha kuendelea katika nchi za Marekani, Italia, Ujerumani India na sasa nchi za Afrika Mashariki nazo zimepitia changamoto ya kukosa huduma ya mtandao huo.

Tatizo hilo limeelezwa kuanza majira ya saa mbili asubuhi ambapo maelfu ya watumiaji wa WhatsApp wameeleza kukosa huduma. Wengi wao wamelalamika kukwama kwenye baadhi ya majukumu yao kutokana na kutegemea mtandao huo kwaajili ya kuhamisha na kupokea mafaili yao.

Hadi sasa bado wamiliki wa mtandao huo ambao ni kampuni ya Facebook chini ya Mkurugenzi Mark Zuckerberg hawajatoa tamko juu ya tatizo hilo.
 
nilihisi ni kwangu tu wasap haifanyi kazi lol nikaifuta nikata kuidownload tena ikagoma nikadownload gbwhatsapp nayo imegoma
 
Ni mimi tuu au wote??? Au ndio wameanza kufungia mitandao ya kijamii.

=====
WhatsApp struck by 'Worldwide outage'

The hashtag [HASHTAG]#whatsappdown[/HASHTAG] is trending on social media at the same time as WhatsApp's website seems to be down.

Users of WhatsApp worldwide are complaining that the mobile messaging service is down.

The smartphone app uses symbols to inform users of how the transmission of their message is doing.

Worldwide, users are being shown the clock symbol after attempting to send a message, meaning that the message hasn't been sent to WhatsApp's servers.

The website for the messaging app also appears to be down in what may be a domino effect.

If a significant problem has affected WhatsApp's messaging servers causing the message issues, the resultant world-wide concern may have caused so much traffic to visit the website it has fallen down.

The outage is an embarrassment for WhatsApp's parent Facebook, which this week announced record revenues from advertising.
Ya kwako tu,mimi yangu inapiga kazi
 
Back
Top Bottom