mkuu ni kama mimi, hadi kuchomoa betri ila wapi, lakini mbona hata line nazo zinakataa kushika network?Daaaah nmesumbuka Ku restart balaa
[emoji23][emoji23][emoji23] yan nimecheka nilovyokua nahaha kurestart and reboot sim yangu had nimeiuninstall halaf nikitaka kudownload inanambia not optimised wih your device nikaona hee haya mapya nikajaribu kudownload gbwhatsapp nako inagomaDaaaah nmesumbuka Ku restart balaa
Pole Madam, sasa hiyo GB ishakubali??[emoji23][emoji23][emoji23] yan nimecheka nilovyokua nahaha kurestart and reboot sim yangu had nimeiuninstall halaf nikitaka kudownload inanambia not optimised wih your device nikaona hee haya mapya nikajaribu kudownload gbwhatsapp nako inagoma
Pole Madam, sasa hiyo GB ishakubali??
Hapo kama vipi sakizia namba ingine unakua na Whatsapp mbili pamoja
[emoji2][emoji23][emoji16][emoji125][emoji125]Yure maraika wa mtandao ndo ameanza yake rabuda
poreni sanaPole Madam, sasa hiyo GB ishakubali??
Hapo kama vipi sakizia namba ingine unakua na Whatsapp mbili pamoja
na hii gb imekubali piaIsharudi lakini
Utakuwa unatumia simu yenye uwezo mdogo sana mbona mm ipo sawa tu.
Hiyo itie namba ingine kama unayona hii gb imekubali pia
naona shida tu sababu sasa hivi nimeifta ile og nitaidnwload baadae hii gb nitaiacha tuHiyo itie namba ingine kama unayo