News Alert: Whatsapp gan inavutia zaid(kuwa na option na uwanja mpana zaid)

GB WhatsApp imekaa kikekike kama Instagram na snap chat, wanaume tunatumia official, iyo GB WhatsApp mapambo kibao personalization tumewaachia wadada wafanye make up hadi conversation
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakuta mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Level uliyofika kufikiria ndio nipo mimi. Ukishakuwa mwanaume kuwa mwanaume, GB Whatsapp iko kimbea mbea sana. Hata mtu akiiona kwa simu yako anapoteza uaminifu kidogo. Yote ya nini hayo.

Sent using BlackBerry Z10 Jamii Forums mobile app
basi katika hili wanaume wa dar watakuwa advanced, GB WhatsApp mambo za kitoto hizo na chicks, urembo urembo mwingi, mtu unakuta anaficha mpaka green tick isitokee sasa ili iweje kama sio utoto, kifupi haina feature yoyote ya maana.
Hayo ni maamuzi yenu tu mkuu, swala la kupamba ni mtu hadi uamue kuifanyia personalization, ninacho pendea gb ni anti revoke tu. Mengine yote sijayagusa

Kingine simu inaruhusu namba moja nami ninazo namba mbili hivyo hii inanipa uwanja wa kuwa na whatsapp mbili ktk simu moja kuliko kutembea na mzigo wa simu mbili.

Hizo mbili ndio primary target zangu za kuwa na gb

Aina ya app fulani unayotumia haitoweza kamwe kubadili jinsia yako wala wasifu wako.. Hizo ni propaganda zenu tu.

Cha msingi ni kujua wewe unahitaji nini, kwisha maelezo.
Fikra zako ndio umasikini wako

Negativity zimewajaa
 
Mimi natumia hii official version ambayo ipo playstore..
Hii GB whatsapp hapana iisèeh maana unakuta mtu anaficha last seen kama vile kuna kitu special kuhusu last seen au mtu anaficha blue tick kama vile kuna tuzo zinagawiwa wakati wakina chenge wako busy kuficha pesa zetu walizoiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hizi za kawaida ina hizo options mkuu.
 
YoWhatsApp to me is the best.
Na ina interact na official. So ukiweka inakuwa kama official but ina options za ziada na haipo complected kama Gb WhatsApp.

huyu Gb nimemkubali kwenye Gbinsta tu.
 
Level uliyofika kufikiria ndio nipo mimi. Ukishakuwa mwanaume kuwa mwanaume, GB Whatsapp iko kimbea mbea sana. Hata mtu akiiona kwa simu yako anapoteza uaminifu kidogo. Yote ya nini hayo.

Sent using BlackBerry Z10 Jamii Forums mobile app

nianze kwa kukuambia umekosea sana...tatizo umeangalia option ambazo zimekaa kimbea na umeacha kujadli option za whatsapp GB ambazo zinaifanya iwe bora sana...kwanza ina uwezo wa kutuma video zenye size kubwa kuliko whatsapp ya kawaida...pili unauwezo wa kuweka status video hadi yenye dakika 7 wakati whatsapp ya kawaida ni sekunde 30 tu...pia ina uwezo wa kudownload any status hakuna cha kumwambia mtu nitumie hiyo...hayo mambo ya kimbea mbea inategemea na wewe unavyoitumia..wengine tunaitumia kutangaza biashara zetu...dakika saba naweka tangazo safi kabisa linakamilika
 
Note; iyo status ya do Saba unayo weka my mwenye WhatsApp ya kawaida awezi kuiona yote izo dk saba
 
nianze kwa kukuambia umekosea sana...tatizo umeangalia option ambazo zimekaa kimbea na umeacha kujadli option za whatsapp GB ambazo zinaifanya iwe bora sana...kwanza ina uwezo wa kutuma video zenye size kubwa kuliko whatsapp ya kawaida...pili unauwezo wa kuweka status video hadi yenye dakika 7 wakati whatsapp ya kawaida ni sekunde 30 tu...pia ina uwezo wa kudownload any status hakuna cha kumwambia mtu nitumie hiyo...hayo mambo ya kimbea mbea inategemea na wewe unavyoitumia..wengine tunaitumia kutangaza biashara zetu...dakika saba naweka tangazo safi kabisa linakamilika
Hapa mkuu umenena kabisaaa
 
Back
Top Bottom