Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free
Mkuu simu yangu ni Nokia x nimeweka hii app ya whatsapp lakini inakataa kuwa simu yangu haisapoti hii app,hapo nifanyeje ndugu?
muda Wa Hizo Simu Kuachiwa Whatsapp Bado Lakini Fanya Hivi.... kama Umeshaidownload Na Kuinstall Vyema Mpaka Namba Umejaza Na Ilipoconfime namba Ikakwambia Continue Baada Ya Kupofya Ikasema Your Device Cannot Support Hapo Ujue Tayari Una Whatsapp... Jinsi Ya Kuitumia Bofya Picha Yako Kwenye File, Nenda Share Halafu Select Whatsapp Itakuletea Uchague Unashare Na Nani, Ukishashea Utarudi Back Utaendelea Kutumia Kama Kawaida... Karibu
Rakims
Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free
nahitaj keyboard ya mwandiko wa kulala kwenye cm yangu