Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

tecno ya button za kawaida, ina java, lkn mbona whatsups haikubali, achana na torch, hii ya kawa
 
Ahsante sana Mkuu Phlagiey, nimefanikiwa!! Maelezo yako ni very systematic and clear!! Ila nimeshindwa kubadilisha rangi ya OGWhatsapp.

Kama unataka kubadilisha rangi ya hiyo OGWhatsApp fuata hatua hizi hapa.

=>Option kisha utaona sehemu imeandikwa OG Mods>>>Kisha tafuta>>>Launcher Icon>>>chagua rangi upendayo kwaajili ya muonekano.

=>Chini yake utaona neno>>>Notifybar Icon>>>>chagua rangi upendayo kwaajili ya Notification
 
tecno ya button za kawaida, ina java, lkn mbona whatsups haikubali, achana na torch, hii ya kawa

Tecno ya aina hiyo haiwezi kukubali.

Hii ni kwaajili ya simu za nokia original n.k, lakini sio kwa hizo tecno zenye java ya kuzugia.

Angalia hapa{Asha 200, C2-03,C2-00,2700c,2690} n.k
 
Tecno ya aina hiyo haiwezi kukubali.

Hii ni kwaajili ya simu za nokia original n.k, lakini sio kwa hizo tecno zenye java ya kuzugia.

Angalia hapa{Asha 200, C2-03,C2-00,2700c,2690} n.k

UMENICHEKESHA SANA HAPO KWENYE BLUE, wachina wanaturidhisha tu, lkn hii inaweza kuunganisha interent kama
modem vipi, hii capacity was amazing kwa kweli, nikiwa na simu na ile cable yake ya chaji naunga internet bia

wasiwasi tu
,

Hata hivyo, mbona inaweza kufungua doc iliyoktk MS-word? na inaweza ikadownload file lililoktika PDF? NAHISI HII SIMU INAKITU SI CHA KAWAIDA KWA SABB NILIJUA NI TECNO YA KICHINA TU,..
 
NIMEKUBALI KAKA, Sababu ya msingi sana

karibu tena...! Ila mchina Yoyote Yenye Whatsapp Inaingia Bila Tatizo Mkuu.... Simu Kweli WhatsApp Zilizopo Kwenye Mchina Hazifunction Yako Ni Vile Imeshakadiriwa Whatsapp Haikuwekwa Humo...
 
Ahsante sana Phlagiey, nimefanikisha kila kitu! Sasa laini zangu zote mbili zimeunganishwa na Whatsapp na kila moja ina rangi tofauti, pamoja na notifications
 
Mkuu Rakims, naomba unisaidie kufikisha hiyo ya soda maana uko karibu naye kuliko mimi, lol

hahah! Usijali sisi tumeipata bure tunatoa bure furaha yetu ukiwa umefanikiwa....
 
Tecno ya aina hiyo haiwezi kukubali.

Hii ni kwaajili ya simu za nokia original n.k, lakini sio kwa hizo tecno zenye java ya kuzugia.

Angalia hapa{Asha 200, C2-03,C2-00,2700c,2690} n.k
Nina Nokia E61i hii inakubali whatsapp?,kama hapana nifanyeje?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Rakims na Phlagiey vipi kwa hii samsung sgh-d780 unaiwezesha vp whatsapp coz nimefuatilia maelekezo ila nimeambulia hola. naomba maelekezo specific kwa ajili ya hii simu please.
 
Last edited by a moderator:
Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free

simu yangu imepoteza image zote nilizotumiwa kutoka whatsapp nahisi kuna mtu alichezea simu yangu akazifuta bahati mbaya nafanyaje kuzirudisha ni samsung
 
Rakims na Phlagiey vipi kwa hii samsung sgh-d780 unaiwezesha vp whatsapp coz nimefuatilia maelekezo ila nimeambulia hola. naomba maelekezo specific kwa ajili ya hii simu please.

jaribu hii mkuu..

http://www.samsungdownloads.net/download-id-134514-name-WhatsApp+Messenger+v2+1+9915.html
 
Last edited by a moderator:
simu yangu imepoteza image zote nilizotumiwa kutoka whatsapp nahisi kuna mtu alichezea simu yangu akazifuta bahati mbaya nafanyaje kuzirudisha ni samsung

ifanyie Backup Zitarudi Lakini Kama Kafuta Source Ni Ngumu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…