WhatsApp DOWN - Messaging service not working for millions of users

WhatsApp DOWN - Messaging service not working for millions of users

Mh mbona mim napata kama kawa
0affced8475b4bc7cba5c6dc509e22a2.jpg
 
bando lao limekwisha inabdi mitandao pendwa ya 4G iwachangie p1 na YANGATEL!!!
 
Na ikrudi hii inaonekana ita misbehave na kujichanganya so message za mtu A zinaweza kwenda kwa C badala ya B.mbona patamu hapo.or utaweza ona message zoooote za fans wako uwiii itakua ndo mwisho wa dunia
 
mwenyewe inazingua nime ingia twitter kwenye account yao, ni kweli ipo down
 
Kama Roma alikuwa offline kwa muda then akaja kurudi tena kwanini ishindikane kwa Whatsap??,
Despite ya kupotezwa hewani kwa muda ila
amini itarudi tena hewani as usual.

ingawa mimi kwangu iko poa tu na inagonga kopi kama kawa.
 
nmehangaika nayo sana...nime ifuta na kui download mara kibao but hakuna kitu.."Kumbe Mark wamemtikisa"
 
Back
Top Bottom