Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,147
- 4,296
ndio maana sielewi elewi hii whatsapp yangu nikajua ni network
Nawaza tu whattsap itoweke milele.
tutakutana telegramNawaza tu whattsap itoweke milele.
Au sio.Mmmmh umeandika kama vile hakuna messaging apps zingine!!!
Bashite amehack WhatsApp mkuda huyuNimeitumia mwisho dk 30 zilizopita.
Ila imeshawahi kutokea kabla.
Muhimu kuwa na zingine kwa simu, kama haya yanatokea.
Mh mbona mim napata kama kawa