Whatsapp calling activation

Kwa windows phone bado mkuu...endelea kusubir

Mkuu Fareal, watumiaji wa iPhone hawajaingizwa kwenye hio voice call? Au ni ya kwangu maana naona inakataa hata hio latest virsion siioni App Store
 
Last edited by a moderator:
Mbona hiyo namba ya kumtext jamaa haionekani, mi nishadownload na kuinstall,, nionesheni ilipo hiyo namba
Namba cjaiwek mana kuna mda hua niko bussy sana mpka nakosa nafasi ya kuwasaidia watu..
tuma JAMIIFORUMS kwenda 0713190269 via whatsapp.
 
Mkuu Fareal, watumiaji wa iPhone hawajaingizwa kwenye hio voice call? Au ni ya kwangu maana naona inakataa hata hio latest virsion siioni App Store
Kwa iphone na windows phone bado mkuu...naon wameamua kuanza na android
 
Kwasasa ishakuwa open kwa watu wote wanaotumia Whatsapp app. Mabadiliko yameanza jana usiku. Hata kama unatumia old version unaweza kucall pia.

ntilavano
Whatssap imeshawezeshwa kwa watu wote, haina haja tena ya kusubiri mtu aku-activate...
Yah nakubalian na nyinyi..kuna watu wamepata activation bila kupigiwa...ila SIO wote kuna baadh ya watu wameupdate ila bado hawajawa activated..
 

Asante mkuu, nimekuwa activated now
 
nimeshangaa kwangu imeji-update automatic so nice one! nimetwanga na ikakubali safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…