Whatsapp calling activation

Na mimi jamani waungwana nime update kwa aliye kuwa active ani call 0715828129
 
Sio lazma..kuna watu walkua activated kweny ile version ya 2.11.561..na mpka leo bado znafanya kaz.
but ni vizuri ku update kila version mpya inapotoka...mana wanadai wame improve quality ya call katk hz version mpya.

Kwa iphone inafanya kazi?
 
mimi siwezi ku update iyo version mpya ya whatsapp (V 2.12.19)mwenye link anipatie nami niwewe kudownload
 
Poa mkuu...enjoy

Mkuu Fareal naomba unisaidie haya:

1.Nikizungumza na mtu mazungumzo yanachelewa kwenda au kunifikia kama inavyokuwa kwenye miito ya mbali yaani miito ya nje ya nchi.

2.Ninachokizungumza kinanirudia/ nakisikia tena kabla hakijamfikia ninayezungumza naye.

NB: Natumia techno m3

Ahsante.

Tafakari...
 
Mimi nasubiri whatsapp video
Cc Fareal
 
Last edited by a moderator:
Mimi nasubiri whatsapp video
Cc Fareal
Kama hii ya voice call inazinguahivi hiyo video c ndio balaa
Matatizo niliyokumbana nayo ni
1. Voice kujirudia rudia
Hii inachangiwa na internet mbovu maeneo mengi ya tz
 
Last edited by a moderator:
nimeongea na jamaa mida hii sauti poa tu haijirudii ila inachelewa kufika tofauti na call za kawaida
 
Wakuu. We do not need to send msgs to certain groups orv contacts so as to activate whatsapp calling. If update mode is on in yr fone then upon updating it will automatically click on with a new task bar pale juu. Siku tumejiunga tulikwisha toa ruksa kwa whatsapp wafanye watakalo na simu zetu 😩😩😩
 
1.either ni tatiz la netwrk...au location ulipo mtandao unaotumia hauko vizur...
2.try to update to latest version..v2.12.19

Qn:umepata hilo tatzo kipnd hiki cha server za activation zilipofunguliw au hat kapnd zilpokua zmefungwa.???
 
Kuna rafik zangu wanaomba link wadownload Lakin Sijui namnaa ya kuwatumia link anayejuaa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…