Mkuu
Fareal katika post
#1 katika swali
#2 ukihusisha na jibu lake. Ikitokea server zimezimwa na ulikuwa activated kisha zikawashwa halafu kukawa na latest version (saa hizi nimeiona v 2.12.19) unahitaji ku-update version yako au utaendelea kutumia ile ile?