Whatsapp calling activation

Ts working thank u for sharing
 

Attachments

  • 1426257545952.jpg
    17.4 KB · Views: 230
Mimi kwangu kuna tatizo la ku deley unapo piga ama kipigiwa.
 
Nashukuru sana nimefanikiwa na mimi pia. salute kwa alietoa wazo hili
 
Hapa naenjoy whatsapp plus with calln enablee
Mkuu wewe umefanyaje mbona mimi kwangu baada yakuwa activated kuja Kurudisha whatsapp reborn sijapata hiyo feature ya call na nilikuwa activated kwa kutumia version aliyotoa mtoa mada
 
Kama play store aifungiki check kwanza kama internet imekaa vizuri(je unapata internet vizuri,mobile data yake ipo enabled?), kama internet ipo poa yaan vitu vingine unapata via internet basi inabidi ufomat hiyo cm(factory restore), uanze upya kila kitu...NB: fanya backup ya vitu vyako kwanza esp majina yote ya kwenye simu na vitu vingine muhimu
 
kazi nzuri sana hongera ila mbona ukimpigia mtu au kupigiwa simu inaita tu alaf mtu akipokea hamsikilizani ata kidogo? au kuna aloweza kuongea na mtu wakasilizana atupe ufafanuzi kiasi maana kila nikipigiwa au kupiga haina sauti ata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…