Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Nashindwaaaa
Mkuu asante sanaa..its work asee...but naomba afafanuzi wa vitu hivi
1. Hii ipo official?? Yasije tukuta ya watsap plus
2. Privacy ipo palepale? Kwa maana ya kwamba, picha na conversations zipo secured as normal ??
1.whatsapp version 2.11.561 ni official kabsa,,tena kwa baadh ya nchi mfn holland ilishakua published playstore tangu jana,.
Chck picha,,a frnd from holland alintumia last night,.
Ila leo asubui nmechck playstore naona tayr wameshaiwek v 2.11.561.
Si kweli mkuu hiyo version 2.11.561 bado haijawekwa kwenye play store hapa holland na ndio maana nilikutumia no yangu ili ujaribu kuiactivate maana nimejaribu kuidownload na kuinstall lkn sion changea1.whatsapp version 2.11.561 ni official kabsa,,tena kwa baadh ya nchi mfn holland ilishakua published playstore tangu jana,.
Chck picha,,a frnd from holland alintumia last night,.
Ila leo asubui nmechck playstore naona tayr wameshaiwek v 2.11.561.
Si kweli mkuu hiyo version 2.11.561 bado haijawekwa kwenye play store hapa holland na ndio maana nilikutumia no yangu ili ujaribu kuiactivate maana nimejaribu kuidownload na kuinstall lkn sion changea
Mkuu hapa nilipo sasa ni Netherland wala sijaiona hiyo version kwenye playstore. Anyway labda simu yangu ya LG ndo ina matatizo mana nimeinstall hiyo yako but still doesnt work.Mkuu mi npo DSM,,ila a guy from holland ndo alisem wao walishapat update,,,na akatuma screenshot kuprove hilo.,
Chck conv.. Kweny ile picha,,,ilkua jana night,.
Ila leo axubui nmechck playstore,,nkakuta hata sisi Tz tumepat update ya 561.
Mkuu hapa nilipo sasa ni Netherland wala sijaiona hiyo version kwenye playstore. Anyway labda simu yangu ya LG ndo ina matatizo mana nimeinstall hiyo yako but still doesnt work.
Mkuu nimeshainstall naomba unipigie kwa no hii +31626427992
Mkuu hapa nilipo sasa ni Netherland wala sijaiona hiyo version kwenye playstore. Anyway labda simu yangu ya LG ndo ina matatizo mana nimeinstall hiyo yako but still doesnt work.
Ku-install haitosh mkuu,,u hav to receive a call frm activated number,.
Plz ntxt kweny whatsapp,,nijarib kukxaidia,