Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Fareal

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
825
Reaction score
267
Whatsapp calling Activation is working again [Server UP]
>*whatsapp wameachia tena server zao za ku-activate whatsapp voice call
>**Kama unahitaji whatsapp call fany yafuatayo..

1.Update whatsapp yako to latest version (v 2.12.19)..download HAPA
2.mwombe mtu ambaye tayar yuko activated akupigie simu kwa whatsapp.
3.pokea simu afu iache hewan kwa sekunde kadhaa..
4.kata simu..then chck kama tab ya call imetokea..kama bado mwambie akupgie tena..

**** please continue to visit this thread for any updates****



,.........UPDATES......,.
A) whatsapp messenger got an update now its on version 2.12.23,,,idownload hapa

B) kwa sasa official whatsapp version inayopatikana playstore ni v 2.12.5

FAQ ((frequently asked questions))
1.Ni lini na mda gani server zitakua open au nitajuaje kua server ziko open ili nimwombe mtu ani-activate.??
Ans,:there is no definitely day & time,,endelea kutembelea huu uzi kupata updates zozote.

2. je ni kwann cjawa activated baada ya kupokea cm.??
Ans,;ni kwasababu hujainstall latest version ya whatsapp kweny simu yako (v 2.12.23)
3. ntajuaje kama tayr nashakua activated kutumia whatsapp voice call.??
Ans,:ni baad ya kuona call icon kweny whatsapp yako na kujarbu kumpgia mtu.

4. kwann siwezi kuwapigia baadhi ya watu walioko kweny contact list yangu,
Ans,:ni kwasabab wanatumia old version za whatsapp,,waambie wa-update version zao za whatsapp.

5.Hii whatsapp call ntaitumia kwa mda gan,??
Ans,: whatsapp call ni ya kudumu,

6. Nawez wapgia simu wat wangp kwa siku na je inafanya kaz had nje ya nchi na kuna ghram zzte za ziada,??
Ans,:YES,,inafany kaz had nje ya nchi bila gharam zzte za ziada na pia hakuna limit uwapgie watu wangp kwa cku,,,ni MB zako 2.

7.Je,naweza kuwa-activate wengine baada ya kua-activated.??
Ans,:YES,,baad ya kua activated unaweza kuwa-activate wengine ila lazma awe na latest version ya whatsapp kweny cm yake.


Kama hii post imekusaidia plz LIKE na utoe feedback,.
 
Jaman hii ni kwa offcial whatsapp only.

Kwa wale weny whatsapp plus naona kama inazngua.
 
Mkuu maelezo ya kutosha kidogo kuhusu hii kitu
Wap hapajaelewek mkuu,,
Download whatsapp nloweka kweny hiyo link,,thn install baad ya hapo nitxt kweny hiyo namba nloweka kwa kuandika JAMIIFORUMS,,,then ntakupgia cm kwa whtsapp after that utakua activated,,
 
Wap hapajaelewek mkuu,,
Download whatsapp nloweka kweny hiyo,,thn install naad ya hapo nitxt kweny hiyo namba nloweka kwa kuandika JAMIIFORUMS,,,then ntakupgia cm kwa whtsapp after that utakua activated,,

Thanks bro, im now enjoying whatsapp voice calling
 
Wap hapajaelewek mkuu,,
Download whatsapp nloweka kweny hiyo,,thn install naad ya hapo nitxt kweny hiyo namba nloweka kwa kuandika JAMIIFORUMS,,,then ntakupgia cm kwa whtsapp after that utakua activated,,

Thanks mkuu. Sharing is caring
 
Asante sana mkuu sasa na-enjoy WHATSAP VOICE CALL.
 
Farijiel thanks sanaaaaa whatsapp version 4.0 calling feature imeactive fresh tu
 
Nice mkuu, tayari imeshaanza kufanya kazi.
 
Kama unahitaji whatsapp calling kweny cm yako ya android,,,fanya yafuatayo
Update whatsapp yako to latest version,,.
Link,,,,https://www.dropbox.com/s/7tg6wp7koy3vtzx/com.whatsapp-2.11.561-450341-minAPI7.apk?dl=0
Pili,,,nitxt kweny whatsapp kwa kuandika JAMIIFORUMS kweny namba 0713190269
then ntakupgia cm kwa whatsapp,,unachotakiwa ni kupokea cm,,,
Fanya faster b4 server za activation hazjafungwa,,.

kwa kutoa ushuhuda mimi saizi nampigia mtu kwa whatsapp call na mleta mada nmeongea naye hongera
maana itatusaidia sana
 
Working like charm tatizo ni speed za net tu hapa ndo zitatukosesha uondo

kwa xax server za whatsapp pia zko bz xana.,mana mamia ya watu dunia nzima wnapigiana cm ili ku-activate wenzao.,
 
Back
Top Bottom