Popomtata Member Joined Dec 20, 2011 Posts 66 Reaction score 10 May 23, 2015 #21 Daa kweli w'app bado underground! Mie nawapigia watu inaita bila nukta na haipokelewi hapo hapo sjawahi pigiwa zaidi ya kukuta missd calls
Daa kweli w'app bado underground! Mie nawapigia watu inaita bila nukta na haipokelewi hapo hapo sjawahi pigiwa zaidi ya kukuta missd calls
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 May 24, 2015 Thread starter #22 Popomtata said: Daa kweli w'app bado underground! Mie nawapigia watu inaita bila nukta na haipokelewi hapo hapo sjawahi pigiwa zaidi ya kukuta missd calls Click to expand... Hapo sasa unakuta unayempigia hata hayupo hewani, lakini wewe unasikia inaita
Popomtata said: Daa kweli w'app bado underground! Mie nawapigia watu inaita bila nukta na haipokelewi hapo hapo sjawahi pigiwa zaidi ya kukuta missd calls Click to expand... Hapo sasa unakuta unayempigia hata hayupo hewani, lakini wewe unasikia inaita