WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

WhatsaFapp ni hatari kwa data zako

romarry

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.

Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.

Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu hadi 724mb kwa md mchache tu.

Wakati instagram ipo zaidi ya miezi 3 imekula 800 na kitu tu.

Kwenda kucheck kwa network usage imetuma na kupokea files za 19mb tu.

Tukae mbali na hizi apps ambazo siyo official wakuu
 
Attachments

  • 1431072995695.jpg
    1431072995695.jpg
    40.6 KB · Views: 1,132
  • 1431073066357.jpg
    1431073066357.jpg
    40 KB · Views: 813
  • 1431073122073.jpg
    1431073122073.jpg
    30.4 KB · Views: 798
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.

Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.

Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu hadi 724mb kwa md mchache tu.

Wakati instagram ipo zaidi ya miezi 3 imekula 800 na kitu tu.

Kwenda kucheck kwa network usage imetuma na kupokea files za 19mb tu.

Tukae mbali na hizi apps ambazo siyo official wakuu

dah pole mkuu...kwanza inabugs kwa kupokea message kuna mda SMS znachelewa kuingia
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila nahisi hii kitu si salama kwa privacy zetu kabisa
 
Mkuu shukrani sana kwa Taarifa. kweli hapo mtu ungeishia kusema Kampuni za Simu WEZI wanaiba MBs
 
Mkuu acha kabisa kujiunga na bundle la tsh 2000 mara mbili kwa siku mbili tu na bado uunge kwa vifurushi vya mda wa maongezi.

Ila nahisi nisinge gundua mapema ingenifilisi kabisa
 
Okay.
Sijawahi kuhangaika na whatsapp nyingine zaidi ya hii most popular

Ni whatsapp hiyo hiyo ila hii inakuwezesha kutumia zaidi ya namba moja kwa whatsapp, ila ndio siyo salama kama ilivyonikuta, nakushauri usithubutu kuzitumia mkuu
 
Asante kwa tahadhari hiyo.
 
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.

Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.

Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu hadi 724mb kwa md mchache tu.

Wakati instagram ipo zaidi ya miezi 3 imekula 800 na kitu tu.

Kwenda kucheck kwa network usage imetuma na kupokea files za 19mb tu.

Tukae mbali na hizi apps ambazo siyo official wakuu

Pamoja sana kiongozi.
 
Uongo tu huo hakuna ukweli wala nini labda simu yako iba shida tu! mimi nina wiki mbili sasa na uwa ninajiunga na kifurushi cha chuo mb500 lakini mboba uwa haziishi na ninafanya na mambo mengine lakini still haziishi??? simu yako ina tatizo siyo Fapp
 
kwa logic ya jamaa unaweza pia kuitafsiri kwamba mwenye simu yenye vitu vichache basi bundle lake pia halitoisha sana. maybe huna vitu vingi kwenye simu ndio maana hio app ikikuibia data bundle haliishi mapema. cha muhimu ni kuchunguza ulaji wa data upoje download app zinazo monitor bandwitch ya simu then utajua.
 
Sio kweli kama watsup inakula mb sana, labda una download video au una send video. Vitu ambavyo vinakula mb sana ni Google, ushauri hakisha kabla ya kulala apps ziwe off kama Skype, viber, imo, na apps nyengine.
Jengine hizi simu za android zikiwa wazi apps ujue mb kwisha kabisa.
 
nadhani unaweza kua sawa au si sawa. kea uelewa wangu ni kwamba ulaji huo kwa mleta mada umeanza baada ya yeye kuweka hiyo application. na katika upelelezi wake amekuta hiyo application ndiyo inayokula zaidi mb zake. sasa kama yenyewe imekula zaidi utakataaje kuwa siyo hiyo application?

nukuu
" , nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi.
Jana usiku nikaunga tena bundle la 1gb la wiki, sikutumia simu nikalala, asubuhi nacheck salio nakuta na salio la 600mb nikashtuka sana kuwa ni kitugani kina tafuna mb zangu.
Nikaanza kutrace apps zinazokula mb nikashangaa kuona whatsfapp imekula zaid ya 660mb kwa siku tatu tu, kabl sijakaa vizuri naona inazidi kula mb zangu"
 
Nashauri a uninstall kwanza ikisha a download tena upya, pengine apps alitia ina virus inayo pelekea ku run kwa kasi kubwa, katika apps zote what'sup ipo too slowly katika matumizi ya mb.
 
Unatumia mtandao gani?maana kuna kipindi hata mm data zilikua znakatwa ju kwa ju nilijua natumia airtel.
 
bro una apps nyingine zinazo-run in the background zinazotafuna hizo MB zako, Whatsapp inatumika hata na kifurushi cha 500 na haimalizi lousy 8MB ka hudownload video zinazozidi kiwango hicho. Pia kuna tabia za kusahau ku-exit apps mtu akimaliza kutumia apps... si zote zinafunga kwa buttons za cmu. Na mambo ya kujiunga na google eti wakulindie cmu na kukutafutia ikiibiwa... watampata mbongo akisha-swipe? waste of data, opening door to data phishing
 
Back
Top Bottom