Whats your nickname??

a.k.a Mjusi a.k.a Mujusi a.k.a Mujusi wa Mujusi a.k.a Freemason a.k.a Iluminati a.k.a Baba Liz a.k.a Obama a.k.a Kitungi daily a.k.a Ngumu kumeza a.k.a Baharia wa nchi kavu a.k.a Mzee wa busara a.k.a Sugar Daddy...

Ngoja nishushie bia mbili nitarudi.
 

Hahahahaaa hahahahaaa muite waiter akuongeze mbili kwa ofa yangu lakini bili utalipa wewe
 
Mwarabu.

Ila mie sio mwarabu rangi huwa inawachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…