Whats wrong with you?

Sasa km hakupendeka nini kinamuuma na kwanini walikuwa bado wanaonekana km wapenzi?
Lol
Hii danganya toto....
Kaby sema ukweli
 
Sasa km hakupendeka nini kinamuuma na kwanini walikuwa bado wanaonekana km wapenzi?
Lol
Hii danganya toto....
Kaby sema ukweli
Erick ntakuzaba vibao, kaby alimzimikia jamaa akamwambia ukweli, jamaa akajishaua kaby akaumia, akasikitika, akamwomba Mungu amsahaulishe.. Akafanikiwa kumsahau sasa jamaa ndio linakuja tena kuibuka na sera zake ambazo kaby alishazisahau!

Umeelewa kijana?
 
What you did last night you know where,has put you in awkward position with me
Angalia mwenyewe anavosema hapo juu....
Huyu kafumania tu hataki kusema....
Kajipeleka kwa mume wa mtu bila taarifa yakamkuta lol
Pole sana Kaby......
Ndo utulie sana
 
@ Erickb52 akija kaby utafute pa kujichimbia.. Mie hata simo.
 
dah..kabakabana pole sana...would have been much better kama mng'emalizana offline km mlivyoanza offline rather than hapa online, kwani JF ili wakushauri watataka uwaelezee kisa chote, which i believe hautakuwa tayari kufanya hivyo. Naamini ni hasira zimekusuma mpaka ukaweza kurusha uzi huu, ila haitakusaidia wewe au yeye rather than publicizing your personal issues.
 
@ Erickb52 akija kaby utafute pa kujichimbia.. Mie hata simo.
Hahahaaaa
Mi sitakimbia na sitanyamaza kusema ukweli Lol
Kwanza namshangaa haogopi hata kusema haya mbele ya Uporoto....Kisa Uporoto kasafiri....Mh
Mwite mwambie namngoja hapa...km siko online ani sms ntalogin
 

Usisahau hapa ni Chit-Chat.......
 
Sasa km hakupendeka nini kinamuuma na kwanini walikuwa bado wanaonekana km wapenzi?
Lol
Hii danganya toto....
Kaby sema ukweli

acha utoto wewe na sasa hivi nakaribia kuzima ntakupa tusi utajikuta tandale.
 
Your name ends it L and last name ends with O.So get it,

BURELL OSLO....................Naamini hili ndo jina lake... au?
Mwambie atemane na wewe asikusumbue bure binti wa watu.................LOL
 

thank you my lovely wifi.Huyu ricky ntamgeuza jinsia wee muache tu
 
Angalia mwenyewe anavosema hapo juu....
Huyu kafumania tu hataki kusema....
Kajipeleka kwa mume wa mtu bila taarifa yakamkuta lol
Pole sana Kaby......
Ndo utulie sana

sio mume wa mtu tatizo ni unatumia masaburi na ushaamwanaasha jamani bro,mbona hauharibu?
 

whatever,am all cool with that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…