what's wrong with this picture part 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

what's wrong with this picture part 5

Discussion in 'Jamii Photos' started by Game Theory, May 14, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Clue...hii ni Dare salaam convention Centre inayojengwa kwa msaada wa wa China.

  Inajengwa jirani na chuo cha IFM


  Mods/admin...nashauri kabla hamjahamisha hizi picha wapeni watu walau 24 hrs wapate kutoa maoni yao.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ungeanza wewe kueleza what you think is wrong with this picture.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135  Ni project ya Rostam Aziz
   
 4. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ni kuongeza msongamano wa magari tu!
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ni nyumba za magabachoriii:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ipo ndani ya a protected area? in a sense kuwa kwingine ni kijani na hakuna majengo yanayoizunguka!
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nothing
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  What happened to Dar Beach/water Front project?! What happened to reserved areas? Yaani natural architecture ya mji inazidi kuharibika tu... hamna hata sehemu za kupumzikia zinazo achwa. Hivi viwanja vya golf vimebakia...?!
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I wonder what is in return for China to "assist" in building the complex?!
  Was NSSF in plan of building the same kinda thing but got blocked along the way, or?!
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hili kama sikosei ni jengo la Nyerere Foundation ambalo linajengwa jirani na IFM na ofisi za bunge. Itakuwa kama kitega uchumi cha Nyerere Foundation pia makao makuu yake. Nategemea watakuwa wameweka sehemu za magari kama 300 kupaki
   
 11. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba wataalam mnisaidie,

  Kwa nini serikali inaendelea kujenga majumba makubwa kama haya katikati ya mji? ukichukulia na miundo mbinu yetu iliyo mibovu? I cant comment, maana kuna wataalamu humu wenye ujuzi zaidi yangu. Ila kwa nini mfano wasingepeleka huu ukumbi sehemu ya nje ya mji..ambako..ingepanua mji na kupunguza karaha ya usafiri kila wanene wakiingia mjini kwenye mikutano?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  how about sewage system? State house? and haya majengo marefu ni lazima yajengwe eneo moja tu?
   
Loading...