Whats wrong with this picture part 3


samahani picha ya chini haihusiani na magwanda na kofia za maafande wetu
 
Mkuu.. una uhakika nguo ni over size na sio kwamba askari ndio under size? 🙂

Kuwapa oversize wana maana kwamba, haitachukua muda mrefu wataota vitambi hivyo hakuta kuwa na haja ya kuwapa uniform nyingine.
 
Kama kawa ya Bongo, kuna mtu amechakachua tenda ya kununua uniform akaleta mitumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…