Paka_Shume
Member
- Jun 22, 2007
- 60
- 5
Pinda anamfaa JK
kwa ajili raisi hutakiwi kuwa na mtu ambaye atang'ara kuliko yeye
pinda na JK wakiwa sehemu JK ndio anapata attention
na pinda anakubali kama JK ni bosi wake, na hata pinda akiiba ataiba kidogo
sio sawa sawa na yule sijui mmasai/mmeru...
ambaye anajiona yeye ni bora kuliko JK na yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule ccm..
yule mmasai pamoja na kampeni zake za kichini hata kaa auone mwanga wa kisiasa TZ tena. he is dead and buried.
atashinda tuu hicho kiti cha ubunge, na kuna mtu anaandaliwa kwa ajili ya kuchukia jimbo lake 2015.
Unajidanganya ndugu......kwe,,kwee