What's the soonest you slept with someone after meeting?

Teh teh...Hilo ndo lengo,nia na dhumuni la mleta uzi..Washtue na wapendwa BADILI TABIA na Evelyn Salt nao waje kujibu
Hahaha. Hakuna mpendwa anaweza kujibu hilo swali.

Honestly, I've done some nasty bi'ness on the first dates. Kama mara 2 au 3 hivi, ila sikumbuki ilituchukua muda gani hadi kufikia huko, baada ya kukutana kwa mara ya kwanza. And none of them were decent mamas. My confession.
 
Last edited by a moderator:
Me binafs ilikuwa ikipita week hatujala mambo yetu nliona hakuna sababu yakuendelea pamoja....maana tukishasign tu kuwa tuna mahusiano inatakiwa ijulikane kuwa ni mahusiano ya kimapenz wala siyo yakucheza karata
 
Hahaaa mkuu umenichekesha sana
 
Hahaha. Hakuna mpendwa anaweza kujibu hilo swali.

Honestly, I've done some nasty bi'ness on the first dates. Kama mara 2 au 3 hivi, ila sikumbuki ilituchukua muda gani hadi kufikia huko, baada ya kukutana kwa mara ya kwanza. And none of them were decent mamas. My confession.
Teh teh...Naona umejihami kabisa...
 
Back
Top Bottom