Whats that?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Whats that??

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Nov 26, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Whats that???


  there was a little kid and she wanted to take a shower with her mom and her mom said es when they were in the shower the little girl looked up and said "mommy whats that?" and her mom said
  " thats my garden"
  the next day the little girl wanted to take a shower with her dad and he said ok when they were in the shower the littlegirl looked up and asked
  "daddy whats that?"
  and her dad said
  "thats my snake"
  that night she got scared and slept with her mom and dad during the night she woke up and said
  "MOMMY, MOMMY!THE SNAKES GOING IN THE GARDEN!!!!!!


   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  moral of the story,
  haijalishi watoto wetu ni wadogo kiasi gani,
  hatutakiwi na wala hatupaswi kuoga nao,
  watatuumbua.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyo mtoto akikuwa hivi atakumbuka huo ujinga aliofanyiwa
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Atakumbuka for sure!

  Mi nakumbuka ushenzi fulani ambao nilifanyiwaga na mdada mmoja nikiwa mdogo, kama 6yrs.

  Na mbaya zaidi huwa ninakutana nae hadi leo huyo M'mama, sijui naye bado anakumbuka alichonifanyiaga...

  Memories in children dont go away!...

  Watafanyiwa kitu wasielewe wakati huo, but when they grow up they start recalling, and add each piece to make a readable composition!
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Kitaalamu, vitu au matukio yaliyomtokea mtoto akiwa na umri wa miaka mitatu au chini ya hapo hawezi kukumbuka!
   
 6. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  PakaJimmy ulifanyiwa nini ili tutafakari pamoja na ikibidi kuepuka madhara yake.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  You are killing me Bujibuji kwa hii joke, teh tehe hahahahaha!!!.......lol
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa..
  Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili,
  mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili.
  Siku moja usiku wakati wa mchezo wa baba na mama, mchezo ukakolea utamu, manjonjo na malavidavi wakajisahau.
  Na walikuwa na kawaida ya kulala kitanda kimoja na watoto wao.
  Sasa mambo yaliponoga wakakipiga kitoto kile kidogo cha miaka miwili teke, kikaanguka huko chini,
  wakasimamisha pambano kwa muda , wakazugazuga hapo na kukikibembeleza.
  Baada ya kama dakika ishirini kupita wakaanza tena kulisakata lile gozi la mapenzi huku wakiamini fika kuwa watoto wameshalala fofofo,
  kale katoto kenye umri wa miaka minne, kwa kumuonea huruma mdogo wake kakasema..
  Wee jeni amka ujishike vizuri wameanza tena mchezo wao wasije wakakuangusha tena.

  Kwa hiyo jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja.
   
Loading...