What will you do?

Pole Daughter, I know how you feel naungana na wezangu waliotangulia kukupa ushauri. yaani mpotezee haraka mno. Najaribu kukutumia kitabu nimeattach hapa sijui kama utaweza kukifungua. Just read kuhusu vijimambo vya mwanaume ambaye hakupigii simu unatakiwa kufanyaje. Cheers
 
Attachments

  • becomeaguymagnet.pdf
    998.4 KB · Views: 83
When in such situations, no advise will heal you, we can tok tok and tok, and you may listern bt uamuzi still will be yours....................................................If I were you I would express to hims exactly why we should keep communications...kwa upole. Then would see kama anaelewa or ndo (like when a woman feedup) ..................If so.....nitaanza kujiuguza mdogomdogo.....
 
You come to love not by finding the perfect person, but by seeing an imperfect person perfectly.
 
nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali

love doesnt exist under the sun , there are is only games played, so you too play your part kama huwezi pole utalia milele.
 
Pole Daughter, I know how you feel naungana na wezangu waliotangulia kukupa ushauri. yaani mpotezee haraka mno. Najaribu kukutumia kitabu nimeattach hapa sijui kama utaweza kukifungua. Just read kuhusu vijimambo vya mwanaume ambaye hakupigii simu unatakiwa kufanyaje. Cheers

It is actually a very good book for women. I wish all women could read it maana kitasaidia kutatua migogoro ndani mahusiano isifikie yale ya Tunisia.
 
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali

kwa nini umtoe?, utatoa wangapi?, kwa nini usimfinyangefinganye akawa sawa na mr right wako?, ni PM nikupe mbinu. Kumbuka utamaliza bucha zote nyama ni ileile.
 
Pole Daughter, I know how you feel naungana na wezangu waliotangulia kukupa ushauri. yaani mpotezee haraka mno. Najaribu kukutumia kitabu nimeattach hapa sijui kama utaweza kukifungua. Just read kuhusu vijimambo vya mwanaume ambaye hakupigii simu unatakiwa kufanyaje. Cheers

kwa hiyo tatizo lake hapigiwi simu?, yeye anapiga?, are u not one sided?!.
 
MH POLE SANA
MI NAONA KWELI HUYO JAMAA HAKUPENDI KABISAA, NA KAMA UMELIUB=NDUA MAPEMA,BASI SEPA HARAKA,NA JARIBU KUMSAHAU,WANAUME MBONA WAKO WENGI TU.CHAO:welcome:
 
dah pole
nmeielewa sana i post yako
yan lijitu unalipeenda lakin halionyesh kupendeka na tabia nyngne nying za kuuumiza ..lakin kumwacha auwez....pole
 
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali
"As long as we believe that someone else has the power to make us happy then we are setting ourselves up to be victims".
 
Back
Top Bottom