What will you do?

mmmh! hapigi simu wala kutuma sms hivyo tu ndo mana unaumia mtoto mrembo kama wewe! acha utani ma daughter! kuna wanaume wenye tabia hizo
1. wanaume ambao wanakupenda ila hawaamini kupiga simu kila saa ndio kukuonyesha anakupenda - unahitaji kumwelimishwa ataelewa
2. wanaume wanapenda kukupigia simu/ sms mara kwa mara wakati hujampa tunda la eden bibie! akishapata anaona amemaliza kazi yan hawa wanachukulia penzi kama ujenzi wa nyumba, unaingia garama wakati wa ujenzi tu, ikisha kamilika basi, wanajua wamemaliza kazi
3. kuna wanaume ambao ni kweli hakupendi na ndiyo mana hakupigii simu, yan wewe unakua kero kwake kuanzia simu yako, sms, na kukuona. Ila hawa ni rahisi kuwagundua, coz ukituma sms tu muda huo huo anadelete! ukiongea nae kwenye simu hana sauti ya mvuto tena, yan majibu ya mkato tu anatoa.

4. wanaume ambao wanakerwa na maswali yenu ya kila saa, e.g, uko wapi? unafanya nini? uko na nani? mbona nasikia sauti ya mwanamke hapo? sema u love me kwa sauti? Kero tupuuuuuuu! lazima akiona simu yako anajua maswali yanaanza, ila bado anakupenda
 
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali

Pole bana,binafsi uwa naamini ni makosa kwenda kinyume na hali halisi,You should decide what's right first before you decide what's possible.For the records,ile avatar uliyotoa siku zote ilikuwa inaniacha na tabasamu mdomoni.
 
mmmh! hapigi simu wala kutuma sms hivyo tu ndo mana unaumia mtoto mrembo kama wewe! acha utani ma daughter! kuna wanaume wenye tabia hizo
1. wanaume ambao wanakupenda ila hawaamini kupiga simu kila saa ndio kukuonyesha anakupenda - unahitaji kumwelimishwa ataelewa
2. wanaume wanapenda kukupigia simu/ sms mara kwa mara wakati hujampa tunda la eden bibie! akishapata anaona amemaliza kazi yan hawa wanachukulia penzi kama ujenzi wa nyumba, unaingia garama wakati wa ujenzi tu, ikisha kamilika basi, wanajua wamemaliza kazi
3. kuna wanaume ambao ni kweli hakupendi na ndiyo mana hakupigii simu, yan wewe unakua kero kwake kuanzia simu yako, sms, na kukuona. Ila hawa ni rahisi kuwagundua, coz ukituma sms tu muda huo huo anadelete! ukiongea nae kwenye simu hana sauti ya mvuto tena, yan majibu ya mkato tu anatoa.

4. wanaume ambao wanakerwa na maswali yenu ya kila saa, e.g, uko wapi? unafanya nini? uko na nani? mbona nasikia sauti ya mwanamke hapo? sema u love me kwa sauti? Kero tupuuuuuuu! lazima akiona simu yako anajua maswali yanaanza, ila bado anakupenda

Kuna kitu cha kujifunza hapa.

Hiyo ipo sana my dear yaani wewe unasikia kumpenda
mtu mpaka unaona ukimkosa siku nzima
simu/sms/messenger/kumuona unahisi kuchanganyikiwa
lakini yeye wala hata mshipa haumshituki hata kidogo.
Kumuacha/kumtoa mtu moyoni si kazi rahisi!!! Unaweza hata ukafikia maamuzi mabaya sana.
Ila mwombe mungu akusaidie upate anayekupenda. I submit!!!
 
nawahurumia sana wakina dada....!

inaonyeshja malovee yanawacost muda sana
 
Pole bana,binafsi uwa naamini ni makosa kwenda kinyume na hali halisi,You should decide what's right first before you decide what's possible.For the records,ile avatar uliyotoa siku zote ilikuwa inaniacha na tabasamu mdomoni.

Hapo kwenye bold hebu dadavua tafadhali
Kuhusu avatar nimeitoa cos the gal is not happy anymore
 
Ni vijimambo flani vinanifanya nione kuwa yeye hanipendi kama nilivyofikiria.
Anaweza kukaa for two days bila kuwasiliana na mimi na ukimcall hana sababu yoyote ya msingi iliyomfanya awe kimya.
Mara asipokee simu hata mara nne ana kusms "ntakupigia" lakini hapigi mpaka umtafute.
Mtu anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo ndo maana naona nimepotea.

Ndio unaanza mahusiano? Yaani two days bila kukupigia unaona shida? Mawasiliano muhimu katika mahusiano lakini kama utataka nikupigie kila baada ya dakika kumi then, I am out.
 
Mahusiano yamekuwepo kwa muda sasa na tabia hiyo haikuwepo. Dont you this i should be worried of the sudden change and take action?
 
Hiyo ipo sana my dear yaani wewe unasikia kumpenda
mtu mpaka unaona ukimkosa siku nzima
simu/sms/messenger/kumuona unahisi kuchanganyikiwa
lakini yeye wala hata mshipa haumshituki hata kidogo.
Kumuacha/kumtoa mtu moyoni si kazi rahisi!!! Unaweza hata ukafikia maamuzi mabaya sana.
Ila mwombe mungu akusaidie upate anayekupenda. I submit!!!

Asante.
I wish i could just prentend he never existed
 
hopefully, unaongelea kiuzoefu zaidi!!!!lol......
 
4. wanaume ambao wanakerwa na maswali yenu ya kila saa, e.g, uko wapi? unafanya nini? uko na nani? mbona nasikia sauti ya mwanamke hapo? sema u love me kwa sauti? Kero tupuuuuuuu! lazima akiona simu yako anajua maswali yanaanza, ila bado anakupenda

Hii ni kero namba one. Oh mara unarudi saa ngapi? Kwa nilikupigia simu hukupokea? Mbona hujajibu SMS yangu? Kwani simu yako iko kwenye vibration? Na akiingia kwenye gari, nakwambia kiti cha abiria kinakaguliwa utafikiri nini vile.
 
Mahusiano yamekuwepo kwa muda sasa na tabia hiyo haikuwepo. Dont you this i should be worried of the sudden change and take action?

You need to provide more details of the relationship. No where you said mwanzoni alikuwa anakupigia kila baada ya nusu saa then sasa ameacha. The less details you provide the more people will make assumptions.
 
Asante.
I wish i could just prentend he never existed

Pretending like he never exist? Pretence is merely and outward appearance or superficial show. It does not hold reality. So, this won't help dear.
 
Hii ni kero namba one. Oh mara unarudi saa ngapi? Kwa nilikupigia simu hukupokea? Mbona hujajibu SMS yangu? Kwani simu yako iko kwenye vibration? Na akiingia kwenye gari, nakwambia kiti cha abiria kinakaguliwa utafikiri nini vile.
nna hakika simo kwenye kundi hilo lakini hata kama nimo,huoni kama kuna sababu ya kunieleza ili nijirekebishe kuliko kunchunia?
 
Pretending like he never exist? Pretence is merely and outward appearance or superficial show. It does not hold reality. So, this won't help dear.
so what do you suggest i should do?
 
Back
Top Bottom