What went wrong at Clouds Media?

Watangazaji wengi wa clouds wamebebwa mpaka hapo walipo.hivyo wako tayari kufanya lolote alitakalo ruge hata kama litawadhalilisha.nani asiyejua wafanyakazi wengi wa kike wa clouds wameliwa na Ruge?
 
Mbona Rama Dee kachukua hado tuzo na nyimbo zake alipiga marufuku Clouds
 
ki ukweli clouds kuna watangazaji wazuri wenye vipaji kama b12 millard ayo na adamu mchonvu sote tunakubali ila tatizo liko kwa bosi wao ruge huyu mtu tatizo hata ukikaa na wafanyakazi wanamlalamikia sana chinichini kusaga anamuamini na kamuachia mikoba yote yaani haongei kitu juu ya huyu mtu nae anatumia nafasi yake kukandamiza wenzake
 
Hakuba ubishi kuja clouds in watangazaji wazuri. Lakini lazima wasome alama za nyakati. Kama wanadhani enzi Zile ndo izi wamepotea njia. Check jide alivyowaaibisha sasa ivi wanamtumie. Mwana FA kuwagawa mashabiki wa bongo flaviana. Wake up mwana fa clouds wanakutumia tuuuuuuuu
 
yaann hapo kwenye kutumika na ccm ndio mmechambia gillet au topazz yani ndio tunajua kweli nyie ni magambaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…