Few months ago, I fell in love with a certain young lady. Our love lasted just for three months before I was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned to have sex for the first time. We did not have sex on that day because my love was crying all the time in that room in the guest house and I did not know the reason why she was crying. the next day, she just abandoned me and she never gave me the reason other than saying "nipe muda nijifunze kukupenda"
Up to the Moment sijajua kama bado anajifunza kunipenda kwa sababu alinichunia na hajawahi kuongea na mimi tena. wana JF, tatizo ni nini na kosa langu ni lipi? Nisaidieni
Huyo binti ana akili sana na Mungu wake ni mkubwa......Pamoja na kwamba alilia siku hiyo ila itamsaidia sana kucheka for the rest of her life!!
1.hauna kosa hana kosa.
2.ni maamuzi yake kukuweka pending SABABU YEYE ANAZO
3.Tafuta ambaye HATAITAJI darasa la kukupenda kwanza then ndo muingie/muanze kudinyana
WAT I KNW IS HAUWEZ KUKAA MBALI NA MTU AFU NDO UKAMPENDA...mapenzi huja /hukua kutokana na mazoea ..baada ya watu wawili kukaa pamoja mda mwing/mnashare vtu,events mablimbali then mkishazoeana ndo mwanzo wa kupendana...SASA UYO WAKO ANAYETAKA KWENDA TOKYO KUBUKUA BIN KUJIFUNZA JINSI YA KUKUPENDA mhh mrongooooo ..mulika mwizi kaka.
km vip tongoza pengine anaye aliyempenda bila kwenda kigurunyembe kusomea jinsi ya kupenda .
nawsilisha kwa heshima na taadhima....
dadavua mkubwa....
akili yangu nyembamba haijajua mafumbo
Soma story ya Apolinary hapa na michango yangu halafu kama bado hujaelewa usiste kuniuliza....
Natamani wote mngekuwa na akili kama huyu dada (exception ni wale wanaofanya biashara)!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/169933-sitaki-tena-nimuone.html
Unajua mi kinachoniuma ni ile sentensi "nipe muda nijifunze kukupenda" ina maana all the months we had been together alikuwa hanipendi. And why was she in love then??????????????????????????!!!!
Ilikuwaje yeye mwenyewe akakubali mpaka kufika guest house??Alikuwa dissapointed baada ya wewe kumuomba kufanya naye tendo la ndoa kabla ya ndoa yenyewe. Pole.