What turns you on in a woman?

What turns you on in a woman?

Ila mungu naye!

Hivi alifikiria nini hata akatuundia kitu chenye mautamu kiitwacho mbususu aise!
Hicho kinaunganisha upendo wa lazima, usiokuwa wa hiyari.

Angelituumba kama 'amoeba' na mfumo wa kuzaa ukawa wa njia ya kushed, waalah maisha yasingelikuwa na maana yoyote.

Ona namna mzunguko mzima wa 'love' unavyopumbaza akili na kuleta matumaini na hata furaha!

Kule kuona tu wanawake wazuri wazuri barabarani nayo ni burudani tosha inayokufanya uone maisha ni mazuri yenye thamani na uongeze juhudi za kufanya kazi kwa kujituma!
 
Back
Top Bottom