What turns you on in a woman?

What turns you on in a woman?

Sema yule mchambuzi wa kike namkubali sana no Mata wat kwanza anajitahidi kuliko hata wachambuzi wa kiume wanaochambua mpira kwa hisia.

Cc realMamy
Nashukuru umemjua sasa yule ni Laima mtupu kasoro ni hiyo tu niliyoieleza hapo juu na kingine sijawahi mwona huku nyuma nikalinganisha vifurushi.

Kwenye michezo huku sijui ubora wake kwa sababu mimi huwa sifatolii sana michezo zaidi ya kumwona Kwenye uchambuzi siku za mechi tu.
 
Hahaha 😂, kumbe Laima na yule mchambuzi wanafanana. Hatari sana mkuu.
 
Back
Top Bottom