What about Allah? Did Allah forget your diabolic relatives? It seems Allah and His Messenger Prophet Muhammad refused to mention them in the Korun.
But for some weird reason, Allah and Prophet Muhammad are talking a lot about Israel and BLESSED them. Does it means that Allah hates Palestine? Does it means that Prophet Mohammad hates Palestine? Why did they forget to mention them
for goodness sake?
Quran ni kitabu cha kipekee sana katika Ulimwengu huu wa vitabu, kwa sababu mfumo uliotumika kuandika aya zake sio sawa na vitabu vingine, mf mdogo tu Mtume muhammad ndio aliyepokea Quran kutoka Malaika mtukufu kabisa Gibril,katika msahafu wote hakuna sehemu ambayo mtume amemtaja mama yake au Baba yake kwa ufupi kuelezea waisfu wake, hii ni dalili tosha kuonyesha kwamba hakuwa na mamlaka ya kuandika anayoyataka yeye bali kama anavyoamlishwa na mola wake.
katika Quran kuna sura inaitwa Surat Mariam, ambayo inaelezea historia nzima ya mazazi na malezi ya mama yake Yesu/Issa rehema za m?mungu ziwe juu yake,ingekuwa Mtume muhammad anafanya mambo kwa matakwa yake basi aangeweka hata wasifu wa mama yake aliyemzaa.
Kuna tofauti moja kubwa sana kati ya Islam na dinii /njia zingine za maisha, ukiondoa Uislam dini zingine zote zinamajina ya waanzilishi wao , sehemu zilipoanzishwa,chanzo cha kuanzihwa kwa dini hizo n.k, mf Ukristo unatokana na Yesu Christo , Budha mwanzilishi wake anaitwa jina hilo la dinii yake.
Sasa Islam au Uislam ni hauna asili ya jina la mtu yoyote, si katika masahaba wa mtume ,au mtume mwenyewe na hii ndio njia ya kweli ya maisha ambayo watu wengi hawaijui bali wachache wenye hekima waliojaliwa.haiwezekani dini ya mungu iwe na jina la kiumbe chake abadan!
Palestines kwa kiarabu ni Falestines kwa sababau waarabu wao katika herufi zao hawana "P" Quran kuwataja waezrael sio tatizo kwa sababu Quran imeshushwa kwa mtililiko wa matukio Allah alikuwa anamwambia mtume wake juu ya jinsi walivyowabariki waezrael lakini wakawa ndio wauaji wakubwa wa manabii wa mungu au umesahau? na ndio maana ya kuletwa kwa nabii kutoka taifa jingine ambalo ni waarabu huo ndio ukweli wenyewe.