What Spam messages have in common!

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
101
1. Wahusika wanapenda uwasiliane nao kwa nyia ya email pekeyake na si vinginevyo.

2. Wanatoa ahadi ya kukutumia picha.

3. Watadai wanakupenda saana au wamevutiwa na profile yako.

4. Profile zao za facebook zina picha moja au mbili za mdada mrembo sana anayevutia.

5. Timeline zao ziko active au zimeanzishwa hivi karibuni.

6. Idadi ya marafiki walionao kwenye mtandao wa facebook ni wachache sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom