what should i do..........


Babygirl...someone is assisting you!
 
mwanamama mi na kushauri uendelee nae huyo huyo,

watu kama Teamo will break your heart into minute particles,maanake mimi kila siku ni pombe tu,hata moja lenyewe linatoka kwa shida....!

YOU ARE TOO DEMANDING AISEE
 
vkeisy 2006 kwani tangu uboyfriend na ugirlfriend wenu alikuwa hivi?......If yes how did you cope? Kama uliweza kumstahimili hadi umeoana naye basi be greatful hajabadilika .................. otherwise useme kama ilikuwa ni ndoa ya kupangiwa (Hamkukutana before)
 

Pole sana...jaribu tu kuendelea kumulewesha na pia umwambie umuhimu mkubwa wa wewe kuyasikia maneno hayo matamu toka kwake labda ataanza kukuelewa taratibu. Nimeshawahi kuona kwa Oprah Wanawake mbali mbali wakilalamika kuhusu hili kwamba wanaume wao hawako romantic kabisa kiasi ambacho ilikuwa inatishia uhai wa ndoa zao.

YouTube - Michael Bolton & Percy Sledge - When a Man Loves a Woman Liv

 
..............Love was meant for some and others escorting them.....
 
muwekee ma movie ya kihindi kwa wingi. ataelewa tu somo. yale ma movie mwanzo mpaka mwisho jamaa wanabembelezana tu, yanaweza yakamuasiri.
 
Love is not in finding a perfect husband/person....but in learning to see an imperfect husband/person in a perfect way!!!
 
Kama hasemi anakupenda lakini matendo yake yanaonesha anakupenda usiwe na wasiwasi.
Wengine huwa hatutamki hilo neno hovyo hovyo hata kama tumependa vipi.
Ol in ol kuna ule msemo unasema "don't say i love you if you don't mean it".
Inawezekana jamaa yako ameguswa hapo.
 
yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...

"If we all threw our problems in a pile and saw everyone else's,we'd grab ours back and depart"
 

bibie hapo kwa keli nakuunga mkono..
communication ndo ufunguo ndani ya ndoa ...
 
yaani ukweli ni kwamba kwani hukumjua kabla hamjaoana? kuna utofauti humo?

pia wasemao I love you kila dakika wengi waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…