What really happened in Simba Sc Vs Stella Abidjan in 1993?

What really happened in Simba Sc Vs Stella Abidjan in 1993?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,700
Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc waliuza hiyo game..Wadau wa Soka la Bongo ..What do u think ? Ni kweli Simba waliuza hiyo game ? Kama waliuza nani walihusika na mchezo huo mchafu ?
 
Kipindi hiki ndo naanza kupata akili ya mpira..na moja kwa moja najikuta naifurahia Simba simply mshua ndo timu yake..
 
Yeye ndo aliuza game nini?
Aliahidi gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,wachezaji walikua 30,sasa piga hesabu..baniani ikabidi afanye ubaya wake,akatembeza hela kwa wachezaji muhimu wa simba,simba akafungwa kizembe,mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ilimuuma sana,akawaomba wamwingize lunyamila,akaambiwa yule yanga
 
Masatu,Mwameja,Masha ni miongoni mwa wachezaji waliohongwa na Dewji

Bolizozo akawatungua goli mbili
 
Tulianza Kwa kuwatoa Ferroviario ya Msumbiji Kwa advantage ya Goli la ugenini hapa tulitoka bila nila kwao tukatoka Moja Moja

Tukaenda Robo Fainali tukamchapa nje ndani Timu ya Manzini ya kule Swatziland

Tukaingia nusu Fainali tukacheza Na Club bingwa ya Angola ya wakati huo inaitwa Atletiko Aviacao hapa Taifa Tukampiga Tatu Kwa Moja then kwao tukapigwa Moja bila wakawa wametoka

Tunaingiza Fainali Sasa hapo, Ikawa Simba vs Stella Andijaa

Mechi ya kwanza tukaanza kule Kwao Ivory Coast tukatoka nao suluhu ya Bila ya kufungana

Sasa Kombe Uwanjani ya Kombe la CAF Africa nzima ikafanyika Uwanja wa Taifa

Mgeni wa Heshma akawa Rais Ally Hassan Mwinyi akisindikizwa Na Waziri wake wa Michezo Prof Philemon Sarungi ( Mshabiki wa Simba damu)

Wakati huo Kocha wa Simba akiwa Abdallah King Kibaden Mputa Na Msaidizi wake akiwa Hassan Hafif

Tukapigwa Goli la kwanza Uwanja Ukawa kimyaaaaa Mara likaingia la pili Mchomo uliopigwa umbali wa mita 18 hapo ndipo Kelele za Mashabiki wa Yanga '...Uzalendo umetushinda...' Ndio zikaanza

Mpaka Mwisho bila ya kutegemea Mzee Mwinyi akashuka Jukwaaani Kwa huzuni usoni lakin akiwa Na furaha moyoni Kwa Kuwa Nae Ni Yanga Damu Kuliko Mzee Akili Mali

Baadhi ya Wachezaji ninaowakumbuka wa Simba Ni Mohamed Mwameja, Hussein Masha, George Magere Masatu, Alfred Kategile, Damian Kimti, Alfred Kategile, Alphonce modest, Makenzi Ramadhan, Dua Said, Edward Chumila n.k

Personally naamini Kwa Umri wangu niliosalia sitoishuhudia Simba bora ya kiwango ile
Mzee Mwinyi akakabidhi Kombe Kwa kina Bolizozo nao usiku ule ule wakaondoka Na Kombe kupumzika Nairobi

Nakumbuka Siku chache kabla ya Mechi, Uongozi Na Mashabiki wa Simba hawakuwa wakijadili Mikakati ya Ushindi wa Mechi hiyo bali walikuwa wakijadili Kombe litakaa wapi baada ya Mechi hiyo wengine walisema Ikulu, wengine BOT hakuna kujadili Mikakati ya Ushindi
 
Ndio maana kuna haja ya hizi timu kutofadhiliwa na hao kuchkuch
nakumbuka 1992 au93 marehemu Gulamali alilia badala ya kucheka Yanga walipofanya kweli pale kampala na kubeba ndoo ya cecafa bila kutegemea mdosi akawa ameahidi donge nono kama wangewafunga villa wenyeji kwenye final ambayo zamoyoni mogela alitupia goli 2
 
yan hom game hii sitaisahauuuuuu
waliwaomba yanga wawe na uzalendo wawashangilie na yanga walifanya hivyo lakini baada ya kutunguliwa goli 2 na bolizozo, Yanga wakaanza kuimba uzalendo umetushinda
 
Mkuu
Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc waliuza hiyo game..Wadau wa Soka la Bongo ..What do u think ? Ni kweli Simba waliuza hiyo game ? Kama waliuza nani walihusika na mchezo huo mchafu ?
Hakuna aliyeuza game, ila uwezo wako Simba uliishia hapo, n'a aibu tukaipata mbele y'a Rais wetu mpendwa Mzee Ruksa, kama ilivyokuwa jana mbele ya JPM, Kagera wakajitobolea Tundu Tobooo... Kuisha habari yao.
 
Aliahidi gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,wachezaji walikua 30,sasa piga hesabu..baniani ikabidi afanye ubaya wake,akatembeza hela kwa wachezaji muhimu wa simba,simba akafungwa kizembe,mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ilimuuma sana,akawaomba wamwingize lunyamila,akaambiwa yule yanga
Mikia walizidiwa uwezo hakuna cha Dewj kuuza mechi Wala nini
 
Back
Top Bottom