What real money can buy

What real money can buy

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Bb8oZMsIEAA8Qm4.jpg

BbQUdPdCMAA6OG7.jpg
BhQbqJTCIAArkan.jpg
BejWf9kCcAA7dLU.jpg
Bj_kljlCAAAhXjc.jpg
BZi2LsBCEAAq8fq.jpg
Be3z_FkCIAAV5rt.jpg

BipC2WBIQAAo2Bf.jpg
BdP2ejKCMAAOaRo.jpg

View attachment 155115

BjgyzEsCYAAjvEk.jpg

BhCoZQlCMAAIEk-.jpg
BcheVJuCQAA7UID.jpg
 
Bongo hamna tajiri wa kufanya matusi haya
 
Kitu kimoja pesa hakiwezi kununua ni afya na uhai.
 
Tutabanana hapa kwa bibi nyau
 
Last edited by a moderator:
Jipe moyo mkuu ila binadamu wenzio wanayaishi hayo maisha
aamin....
unaona kama photoshop? Huamini ingia net uangalie mansions zilizo miami ndo utajua kuwa watu wapo serious
wengine tunasindikiza....
Zipo kweli bhana....ila waweza kuwa una more than that hata kama utaona thamani yake ndogo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ah... maisha haya kunakusindikizana, hata hapa kwetu...
 
Watu wana hela sana aiseee yaani we acha tu hadi raha
 
unaona kama photoshop? Huamini ingia net uangalie mansions zilizo miami ndo utajua kuwa watu wapo serious

yaan mkuu kunwa watu wanaishi utadhan hawako duniani na hawata kufa............
 
Kitu kimoja pesa hakiwezi kununua ni afya na uhai.

Na wale wanaokosa pesa za matibabu kwenda India mf. Kwenye matibabu mpk wqnaomba msaada kwenye media na wakikosa hali si hali. Lait Wangekuwa na uwezo wangali enda nje fasta kwa matibabu na kupona.

Vitu vingine viko ndani ya uwezo wa binadamu ila tatizo bei ya mkaa.
 
yaan mkuu kunwa watu wanaishi utadhan hawako duniani na hawata kufa............

Maisha ni kuchagua mkuu, wenyewe wameamua kuchagua.

Unaweza kuchagua hata wewe. Mimi nimeamua kuishi haya, wewe amua pia
 
Back
Top Bottom