What quote changed your approach to life or opened your mind?

What quote changed your approach to life or opened your mind?

"Aut Viam Invenium, Aut Facium"

"I shall either find a way or make one."

Inasemekana maneno haya yalitolewa na kamanda Hannibal wakati akielekea vitani. Majenerali wake walimletea taarifa kwamba ilikuwa haiwezekani kuvuka milima ya Alps kwa kutumia usafiri wa tembo. Hannibal akiwa na hasira ndiyo akatamka hayo maneno. Kimsingi ni sawa na kusema "Nothing is impossible to me"

Hatimaye alishinda vita na leo hii anatambuliwa kuwa ni mmojawapo wa makamanda bora kabisa katika medani za kivita waliowahi kuishi akiwekwa katika kundi moja na akina Alexander the Great, Julius Caesar, Scipio na wengine wachache.
 
DO NOT TAKE THINGS PERSONAL

Hii nayo imebadilisha sana maisha yangu, maana imenifanya kupotezea mambo yasiyo na umuhimu
 
kweli mkuu ukiwa na afya njema vitu vingi vitakuja.
Hakika.

Hebu jiulize wangapi hivi sasa tunavyoongea wapo Hospitalini?

Hebu jiulize wangapi hivi sasa tunavyoongea wanapumulia mipira?

Hebu jiulize wangapi hisa sasa tunavyoongea hawawezi hata kunyanyua kitu hata chenye uzito wa Kilo tano tu.

Mifano ni mingi sana, yote nikiiweka hapa, hapatatosha.

Kwa kweli inabidi tushukuru sana kwa hali yoyote tutakayokuwa nayo kimaisha.

Pale utakapoona mambo hayaendi sawa, hutakiwi kukosa amani na kujiona kama wewe peke yako ndiie mwenye mazito.

Cha kufanya ni kujikaza na kuishinda Mitihani ya hapa na pale, hakuna Maisha yanayokosa Mitihani.

Kumbuka kuna wenzio wenye mazito, hayo mazito ulionayo wewe ni sawa na hakuna, na kuna wenzio wanaomba wawe kwenye ile hali uliyonayo.

Mungu akubariki sana
 
nyingine ni hii
YOU DON'T KNOW WHAT YOU HAVE UNTIL IT'S GONE

tangia hapo huwa sidharau na kulaani watu hovyo hovyo, hata mtu japokuwa simpendi bado nita appreciate kwa mazuri yake maana hali ingeweza kua mbaya zaidi
 
IMG_20151102_153501.jpg
 
nyingine ni hii
YOU DON'T KNOW WHAT YOU HAVE UNTIL IT'S GONE

tangia hapo huwa sidharau na kulaani watu hovyo hovyo, hata mtu japokuwa simpendi bado nita appreciate kwa mazuri yake maana hali ingeweza kua mbaya zaidi

Leo nimewakamilishia dini yenu na nimetimiza kwenu neema zangu,na nimeridhia Uislamu ndio uwe dini yenu.

I lke this qout frm quran karim inanipa nguvu kuona nipo kwenye dini iliyoridhiwa na Muumba mwenyewe
 
Kwani kuna dini (kwa maana ya dini na siyo falsafa au mkondo wa mawazo) ambayo haikuridhiwa na Muumba mwenyewe?
 
watu waliofanikiwa wanaokuambia usiwaze kuhusu kesho hao usiwasikize hawakutakii mazuri
Ni ivi mkuu binadamu hatakiwi kuwaza kuhusu wakati ujao wala wakati uliopita, anatakiwa kukomaa na wakati uliopo tu. Kwanini nasema ivyo, ukiwaza kuhusu kesho je iyo kesho umeiona? na ukisema uwaze wakati uliopita unaweza kuanza kujuta au ukapata stress kumbuka wakati uliopita ndio umetengeneza wakati wako uliopo so unaweza kutumia wakati uliopita as a reference only not a residence na tukija kwa wakati uliopo you need to live your life fully

Today is non refundable, make it unforgettable.
 
seriously unasema hutakiwi kuwaza kuhusu kesho au unataka kuendeleza tu mjadala for fun? umekua ndege au ng'ombe wewe usiwaze kuhusu kesho? au tumetofautiana kuhusu maana ya " kuwaza kesho"? huwa hupangi hata bajeti? huwa huna plan yotote kabisa kwenye maisha yako?
 
There is no limit of doing good in this world,If you don't care who gets the credit
 
Back
Top Bottom