What quote changed your approach to life or opened your mind?

What quote changed your approach to life or opened your mind?

"Lowassa hasafishiki" By Kubenea via Mwanahalisi.

Huwa najichunga sana ili nisifanye matendo maovu yatakayowafanya mpaka binadamu wenzangu hapa duniani waseme sisafishiki!
ea2e36e5297a73c21ad8ed45b085eb44.jpg
 
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia

HARUFU
 
I will never backdown in any challenge if you want some, come you will get some.
 
Mtego aje hapo mkuu?
Kama una imani either Mkristo au Mwislam ndo inakuwa mtego.

Inakufanya uone hakuna mema na mabaya ndio hao wanaosema kumwogopa Mungu ni kujiwekea limit ya upeo na Uhuru.

So kwa muktadha huo hata ushoga wanaona sio mbaya kwa kuwa wanasimama Kwenye angle ya kuuona kitu cha kawaida.
 
Noted
Well u have a good point there.. i have to agree
 
Wapo wanaamini kabisa, ukikosoa utawala uliopo ni jambo LA uhaini( treason). Mtawala anapoonekana akifanya mambo ya ajabu anaweza kupongezwa kabisa na WASOMI WAOGA, Wanafiki na Walioacha kabisa kufikiriki. Sisi wengine tunaamini katika kusimamia kile Tunachoamini. - mh. Kubenea.
 
Back
Top Bottom