February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,205
- 3,059
- Thread starter
- #21
Wow that's amazing....which means Kuna researchers wanapublish vitu Leo vitakuja kutumika mwaka 2060. (I'm thinking about supercool semiconductors, or quantum computers etc.)Yani hapo kuna watu walifanya research miaka ya 1950s na 1960s, zikatumika kwenye teknolojia za miaka ya 1990s na 2000s.
Miaka 40 mpaka 50 baadaye.
And then Kuna watu kama kina Einstein mpaka Leo hatuna applications za General relativity.