wanawake tunapenda wanaume wanaojiamini.....
waliokaa kiume.....yule ambaye ukiwa nae unajisikia uko kwenye usalama...(hii inaapply nadhani kwa wanawake wote).....
sio mwanaume uko nae wewe ndio unakuwa mwanaume.....hatutaki wanaopenda kulelewa....
wanaume suruali....tupa kule....
nitaendelea......
nipenda sana hii topic....
Je? Mwanaume Shalobalo anahusika kwenye chaguzi yako ?
halafu huu mkebe umetulia wallah.....
Preta bana! Kwani si leana?!! Vipi kama huyo suruali ana mkebe huu...:-*
wengi wanapenda shughuli...